Suarez asaini mkataba mpya Liverpool.


Luis Suarez .

Luis Suarez amesaini mkataba mpya Liverpool na kuzima tetesi zote zilizokuwa zikimhusisha na yeye kuihama klabu hiyo ya Anfield.

Suarez ambaye amejiunga na kikosi rasmi jumatatu akitokea katika mashindano ya Olympic. Jumanne alijiunga mazoezini na wenzake tayari kwa kujiandaa na mechi ya kwanza ya Ligi dhidi ya West Brom.

Luis Suarez akiangaliwa na rodgers

Mara tu baada ya kusaini Luis alisema,
Kusaini mkataba mpya na Liverpool ni furaha sana kwangu kwani ninafuraha kuwepo hapa.
Unapokuwa mtoto kila mtu anataka chezea Liverpool na sasa nipo hapa ninafuraha na sasa na mie pia ni shabiki wa Liverpool.

Nje ya uwanja nakuwaga na furaha sana kwani wanaliverpool ni wema sana na kama mtu ukiwa na furaha nje ya uwanja basi hata ndani ya uwanja utakuwa na furaha.

Nataka kuwashukuru mashabiki kwasababu hao kwetu ni mchezaji wa 12. Mashabiki wa Liverpool ni wakipekee.

Miaka mitano au sita iliyopita nlikuwa naangalia kupitia katika TV na sasa nipo hapa na mashabiki wamenisaidia kwa kiasi kikubwa sana.”

Luis Suarez akiwa melwood

Rodgers nae akanena ya kwake,
nimefurahishwa kusaini kwake kwani kunanipa nafasi ya kufanya kazi na mchezaji bora duniani.
Kulikuwa na klabu nyingi zilimtaka lakini baada ya kuongea nae akaamua kusaini mkataba ambako ni vyema kwetu.”

Chanzo: Liverpoolfc

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: