Nuri Sahin Kwenda Liverpool.


Nuri Sahin

Liverpool imeingia katika mbio za kumnasa kiungo wa Real Madrid Nuri Sahin kwa mkopo.

Inasemekana uhusiano mzuri alionao Mourinho na Brendan Rodgers ndio utapelekea usajili huo kuwezafanyika kirahisi.

Rodgers alifanya kazi chini ya Mourinho mwaka 2004 akiwa kama kocha wa watoto na kisha kupandishwa mwaka 2006 kuwa kocha wa timu ya akiba.

Sahin ameshindwa kupata nafasi za kucheza Madrid kutokana na idadi ya viungo kuwa wengi na hivyo swala la kwenda Liverpool kwa mkopo itaweza wasaidia pande zote tatu.

Awali ilisemekana Arsenal ndio walikuwa na asilimia kubwa ya kumsajili Sahin lakini sasa baada ya Liverpool kuingilia kati, kuna uwezekano mkubwa mchezaji huyo kutua Anfield.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: