Man City kwa Agger huku Cardiff kwa Bellamy.


Daniel Agger

Man City wanaendelea kumfuatilia beki wa Liverpool Daniel Agger. Beki huyo mwenye umri wa miaka 27 anauzwa kwa ada ya paundi mil 30 lakini mpaka sasa fedha zilizotolewa na Man City ni paundi mil 14.

Pamekuwa na maongezi mengi kuhusiana na mchezaji huyo kati ya wawakilishi wa Agger na Liverpool kuhusiana na mkataba mpya wa Agger.
Wiki iliyopita Agger hakuwepo kwenye kikosi kilichocheza mechi ya Europa na magazeti ya Dernmark yakasema ya kuwa Agger hajaumia na wala maongezi ya mkataba mpya na Liverpool hayatofanyika lakini Liverpool hawakukaa kimya wakatoka na kusema ya kuwa hayo madai sio ya kweli na kuwa maongezi ya mkataba mpya yanafanyika huku Rodgers akisema alimuacha Agger katika mechi hiyo kutokana na majeruhi na sio kitu kingine.

Craig Bellamy

Bellamy nae inasemekana anaelekea Cardiff.
Bellamy amekuwa akisema siku zote ya kuwa labda ije ofa kubwa sana ndio itaweza muondoa Liverpool (Anfield) na sasa kuna uwezekana ofa hiyo ikawa imefika kwa Cardiff ndio mahala ambapo yeye na familia yake wanaishi.

Aliweka ahadi kwa Cardiff kipindi yupo hapo kwa mkopo ya kuwa angewasaidia kuwapindisha daraja na ahadi hiyo inasemekana kuwa bado ipo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: