Juventus kuhamia kwa Suarez.


Suarez ,

Timu ya Juventus ameamua kuhamisha mawazo yake kwa Luis Suarez baada ya jitihada zao za kumsajili Van Persie kugonga mwamba.

Mwanzo ilijulikana ya kuwa Juventus ndio ingeweza msajili Van Persie lakini baada ya jitihada hizo kugonga mwamba sasa Juventus wanaanza kuhamisha jitihada zao kwa Suarez.

Suarez

Suarez alikerwa na kitendo cha Waingereza kumzomea pindi alipokuwa na timu yake ya Uruguay katika mashindano ya Olympic na kutokana na hilo Juventus inataka kuutumia mwanya huo na kujaribu kumsajili mchezaji huyo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: