Arsenal wakamilisha usajili wa Cazorla.


Santi Cazorla na Arteta

Cazorla amekamilisha uhamisho wake Arsenal kwa ada ya paundi mil 16.5 na amesema anashauku kubwa ya kuanza ichezea klabu hiyo.

Santi Cazorla na Arteta…

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amejiunga na Arsenal akitokea Malaga.

Santi Cazorla..

“Ninafuraha kujiunga na Arsenal. Hii ni klabu kubwa, inauwanja mkubwa na mzuri na pia mashabiki wake ni wengi na wazuri.
Klabu hii inakocha bora miongoni mwa makocha na pia aina yake ya uchezaji inatambulika ulimwenguni kote.
Ninafuraha kujiunga na timu kubwa kama hii ya Ulaya. Naahidi kujituma kadri ya uwezo wangu wote.” Alisema Cazorla.

Wenger nae akasema,
“Santi Cazorla ni usajili mzuri sana kwetu. Ni mchezaji mwenye uzoefu nauhakika ataongeza nguvu klabu hapa.”

Santi Cazorla mazoezini ujerumani

cazorla amejiunga na wenzake ambao wapo Ujerumani kwa ajili ya mechi ya kirafiki na Cologne.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 7, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: