United kumpata Van Persie baada ya City kujitoa.


Van Persie

Kocha wa Man City Roberto Mancini amenyoosha mikono na kusalimu amri ya kuwa hatoweza msajili Van Persie.
Muitaliano huyo alikuwa na shauku kubwa ya kumsajili mchezaji huyo lakini kutokana na mlolongo wa timu zinazo mtaka mchezaji huyo kuwa nyingi Mancini kaamua kujitoa.

Roberto Mancini

Mancini alikata tamaa za kumsajili Van Persie baada ya kugundua ya kuwa Sir Alex Ferguson alibakia Uingereza hali ya kuwa timu yake ilikuwa Norway ikicheza mechi ya majaribio, Kubakia huko kwa Ferguson ni kwa ajili ya kuweza kukamilisha usajili wa paundi mil 20 wa Van Persie.

Mancini alipoulizwa kuhusu Van Persie alisema,
“Van Persie? Hapana sidhani kama atakuja Man City tena”.

Ferguson

Kutokana na hayo United ndio wana asilimia kubwa ya kuweza msajili mchezaji huyo huku tayari wakiwa na uhakika wa kumpata kiungo wa kibrazil Lucas Moura ambaye yasemekana jana alikuwa akifanyiwa vipimo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: