PSG kuwapokonya Man United Lucas.


Lucas Moura

PSG wametoa kitita kikubwa cha fedha katika dakika za mwisho na kupelekea swala la Mbrazil Lucas kuelekea Old Traford kuingia doa .

Inasemekana mchezaji huyo wa Sao Paulo amekubali kujiunga na PSG kwa mkataba wa miaka 5.
Msemaji (agent) wa mchezaji huyo Wagner Ribeiro  alikutana na mkurugenzi wa mpira wa PSG Leonardo wiki iliyopita na kisha baada ya maongezi alirudisha ripoti kwa mchezaji huyo.

United mwanzo walikuwa na uhakika wa kumpata mchezaji huyo baada ya kuambiwa ya kuwa hela yao ya paundi mil 30 imekubaliwa ila PSG wamekuja na kitita zaidi cha fedha na sasa yaonekana Lucas anaelekea Ufaransa badala ya Uingereza.

Lucas yupo na timu ya brazil katika mashindano ya Olympic na Brazil wamesema hawatomruhusu mtu yoyote kuchukuliwa kwa ajili ya vipimo vya Uhamisho mpaka hapo mashindano hayo yatakapo isha.

Msemaji (agent) Ribeiro ambaye pia anamuakilisha mchezaji wa AC Milan Robinho amemwambia Lucas ya kuwa mji (jiji) la Manchester haujachangamka na unaboa sana kwa hiyo ni bora aachane napo.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: