Liverpool waanda mil 6.3 ya kwa Quaresma.


Ricardo Quaresma

Tetesi zasema ya kuwa Liverpool wapo tayari kutoa kitita cha fedha kwa ajili ya kumsajili mchezaji wa kireno Ricardo Quaresma mwenye umri wa miaka 28 toka klabu ya Besiktas.

Brendan Rodgers

Inasemekana Brendan Rodgers amemsema mchezaji huyo kuwa ndio anayeweza faa ziba pengo lililoachwa na Dirk Kuyt ambaye amejiunga na timu ya Fenerbahce.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on August 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: