Arsenal kutoa paundi mil 6.4 kwa Mirallas.


Mirallas

Inasemekana Arsenal wanataka toa fedha kwa ajili ya kumsajili mchezaji wa timu ya Olympiakos Kevin Mirallas lakini usajili huo utafanyika endapo tu kama Van Persie akiuzwa.

Mirallas mchezaji mwenye asili ya Ubelgiji ambaye ana umri wa miaka 24 amekuwa akifuatiliwa kwa karibu sana na Arsenal pamoja na Liverpool pia.

Mirallas anauwezo wa kucheza kama Winga au hata kama mshambuliaji wa kati. Msimu ulioisha Mirallas ndiye aliyekuwa mfungaji bora wa ligi hiyo ya Ugiriki.

Arsenal itawabidi wakaze msuli katika kumpata mchezaji huyo kwani sio Liverpool tu ndio wanamfuatilia bali hata CSKA Moscow nao pia wanamtaka na tayari walishatoa paundi mil 5 ikakataliwa.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on August 6, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: