Santi Cazorla atua Arsenal.


cazorla

Santi Carzola amekutana na wachezaji wenzake wapya siku ya ijumaa baada ya kukamilisha usajili wa kuhamia Arsenal kwa ada ya paundi mil 20 kutokea klabu yake ya Malaga.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameshafanyiwa vipimo na tayari ameshasaini mkataba wa miaka minne na klabu yake mpya ya Arsenal ambako inampelekea kupokea paundi 70,000 kwa wiki.

Mpaka sasa Arsenal hawajasema/ hawajatangaza rasmi ukamilisho wa usajili huo kwa sababu katika klabu ya Malaga kuna mabadiliko ya Uongozi na hivyo makaratasi kuhusiana na uhamisho huu wa Cazorla kucheleweshwa kidogo.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on August 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: