Kumbe Sir Alex Fergie mwizi…!!?


Sir Alex Ferguson akiwa na akinaGlazer

Andy Green ambaye ni mpanga mahesabu na mshahuri wa kundi la mashabiki la Manchester United Supporters Trust (Must) amesema ya kuwa Ferguson atafaidika na kupata fungu la hela katika pesa za IPO (Paundi mil 204) ingawa familia ya Glazer yasema hilo hiyo itatumika kulipadeni la paundi mil 437 ambazo United indaiwa.

mashabiki wa United

Ferguson hakukaa kimya na kujitetea huku akiwa na hasira kama Mbogo.

“Maneno hayo yaliyosemwa kuhusu mie ni ya kunidhalilisha sana.
Kutokana na matatizo yanayoendelea hapa United nimeona ni bora niweke mambo wazi.
Ni kweli nimewaaunga mkono familia ya Glazer lakini haimaanishi mie nafaidika na fedha ya IPO, mie sipati hata senti moja.
Mie kazi yangu ni kuifundisha timu na kufanya hivyo unahitaji msaada toka kwa mabosi wako.
Wakina Glazer wameweza nipa support ya kila namna ili kuipeleka klabu hii mbele.
Kukaa kwangu hapa United sio kwa ajili ya hela.
Hayo maneno yamenidhalilisha sana mie na kama hiyo ndio sababu basi mie ngeondoka United mapema sana kwani najua ngepata hela zaidi sehemu nyingine.
Ninaongea haya kwasababu sitaki matatizo yatengenezwe kati yangu na United.
Nimekaa hapa miaka 25 ya maisha yangu na nimefanya kazi hii nkisaidiana na mashabiki wa hapa.” alisema Fergie.

Sasa Je nani mkweli jaman ambaye tumuamini Fergie au Andy Green.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: