Aquilani atua Fiorentina.


aquilani..

Raisi wa timu ya Fiorentina Della Valle amesema Timu yake imemsajili kiungo wa Liverpool, Alberto Aquilani.

Aquilani mwenye umri wa miaka 28 ambaye alikuwa na maisha magumu klabuni hapo tangia asijiliwe toka Roma sasa anaweza kuwa na utulivu wa moyo kwani anarudi nchini kwao Italia na sio kwa mkopo ila usajili wa moja kwa moja.

Aquilani

Taarifa toka mtandao wa Liverpool zimesema,
“Klabu ya Liverpool inathibitisha ya kuwa Alberto Aquilani amekamilisha usajili na kuhamia klabu ya Fiorentina.
Muitaliano huyo alijiunga na Liverpool mwaka 2009 na kufanikiwa cheza mechi 28 huku akitolewa kwa mkopo kwa takribani miaka miwili.
Kila mtu yoka Liverpool tunamuombea kila lililo kheri katika maisha yake”.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 4, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: