Pienaar arudi Everton.


Steven Pienaar arudi

Timu ya Everton imetangaza ya kuwa imemsajili Steven Pienaar kutoka Tottenham kwa ada ya paundi mil 4.5 kwa mkataba wa miaka 4.

Mchezaji huyo ambaye aliihama Everton miezi 18 iliyopita na kwenda Tottenham, alijikuta akipata wakati mgumu pindi alipokuwa Tottenham na matokeo yake akaamua kurudi kwa mkopo klabuni kwake Everton na sasa Everton imeamua kumsajili tena mchezaji huyo na kuweza kumrudisha Goodison Park.

Steven Pienaar

“Ninafuraha kurudi tena hapa. Imechukua mda kidogo uhamisho mpaka kukamilika lakini sasa umekamilika na ninafuraha kurudi Everton.
Palikuwa hakuna kizuizi cha kunizuia kurudi kwani nlishamwambia kocha ya kuwa nataka kurudi na sasa nashukuru nimerudi”. Alisema Pienaar

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: