Manchester United na Arsenal zamtaka Wanyama.


Victor Wanyama

United na Arsenal zapigana vikumbo kwa ajili ya kumsajili kiungo Victor Wanyama ambaye anachezea klabu ya Celtic.

Timu hizo mbili zimetuma watu kwenda kumuangalia na kumchunguza Wanyama katika mechi ya leo ya Celtic dhidi ya Helsinki ambayo bingwa atafuzu cheza Champions League.

Inasemekana wachunguzi hao wameanza muangalia mchezaji huyo kwa takribani wiki tatu sasa tangi mechi dhidi ya Norwich, Inter Milan ambako yasemekana Wanyama alicheza vizuri sana.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 ambaye anayetokea Kenya anapatikana kwa ada ya paundi mil 7.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: