Barcelona wawachokoza Arsenal..


Alex Song (kushoto)

Arsenal wanaanza ingiwa tumbo joto baada ya timu ya Barcelona kuonyesha nia ya kumsajili kiungo wa kicameroon Alex Song.

Song ndiye aliyekuwa chachu ya kuweza kumfanya Van Persie kung’aa msimu uliopita kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuweza toa pasi za mwisho.

Barcelona wanataka kumarisha kikosi chao hasahasa katika safu ya ulinzi na wakimpata Song basi atacheza kama kiungo mkabaji na hivyo kuweza wasaidia mabeki kwani mpaka sasa Barca imekuwa ikiwategemea Mascherano na Busquets tu katika nafasi hiyo ya kiungo mkabaji.

Habari toka magazeti ya Hispania zasema Tito Kocha wa Barca anataka toa kitita cha paundi mil 12.5 kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo wa Arsenal.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on August 1, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: