Rio Ferdinand aadhibiwa na FA.


Rio Ferdinand

Mchezaji wa Manchester United Rio Ferdinand ameadhibiwa na chama cha mpira cha Uingereza (FA) kutokana na maneno yake aliyoyasema katika mtandao wa Twitter dhidi ya Ashley Cole.

Cole

Baada ya kesi ya mdogo wa Ferdinand (Antony Ferdinand) na Terry kuisha, Ashley Cole akasema ya kuwa alijua tu Terry angeshinda kwani yeye sio mbaguzi kusema huko inaelekea kulimkera Rio na matokeo yake Rio akaandika katika mtandao wake wa Twitter “choc ice” maneno hayo yakiwa yanamlenga Ashley Cole.

“choc ice” ni msemo ambao unamaanisha ya kuwa mtu kwa muonekano anaonesha ni mweusi ila kumbe anauzungu ndani yake, kwa kifupi anakataa weusi wake na kuumbatia uzungu.

Taarifa toka katika mtandao wa FA ilisema,
“mashtaka haya ni kutokana na utumiaji vibaya wa maneno ambao ni sawa na ubaguzi”

Chanzo: BBC

Advertisements

Posted on July 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: