Liverpool waikataa ofa ya Man City.


Agger

Habari toka Sky Sports zasema ya kuwa klabu ya Liverpool imekataa ofa zilizotolewa na klabu ya Man City kwa ajili ya kumsajili beki Daniel Agger.

Man City wanamfuatilia mchezaji huyo kwa karibu kwa nia ya kumsajili ili aweze imarisha safu ya ulinzi wa timu hiyo.

Mancini amekiri ya kuwa usajili wa beki ndio swala la kwanza mabalo analitia mkazo baada ya Kolo Toure kuonesha nia ya kuondoka na kuoacha timu hiyo kubakiwa na mabeki watatu (3) tu Vicent Kompany,Joleon Lescott na Stefan Savic.

Inasemekana Man City mwanzo walitoa ada ya paundi mil 13 kwa ajili ya Agger lakini ikakataliwa na sasa inasemekana wametoa paundi mil 16 lakini bado Liverpool wameikataa lakini yasemekana City wanataka kurudi na kiasi kikubwa cha fedha ili kuweza mpata mchezaji huyo.

Barcelona nao wanamfuatili beki huyo na wapo tayari kupambana na City kwa ajili ya kumpata beki huyo.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: