Carroll kaigomea West Ham.


carroll

West Ham wamefanikiwa kufikia muafaka na klabu ya Liverpool kuhusiana na uhamisho wa  Andy Carroll kwa mkopo kwa ada ya paundi mil 2 na kama mchezaji huyo angewasaidia kutoshuka daraja basi West Ham wangetoa paundi mil 17 kwa ajili ya kumsajili moja kwa moja mchezaji huyo. Lakini kwa bahati mbaya Carroll amegoma kwenda West Ham pamoja na klabu yake ya Liverpool kuweza kuikubali ofa hiyo ya West Ham.

“Tunasikitishwa ya kuwa tuliweza fikia muafaka na Liverpool kwa ajili ya kumpata Carroll lakini mchezaji mwenyewe hayupo tayari kuja kuichezea klabu yetu” alisema muhusika wa West Ham.

West Ham walikuwa na uhakika wa kumpata Carroll kutoka na kuwa agent wa Carroll ndiye agent wa kocha wa West Ham,Sam Allardyce na Kevin Nolan (mchezaji wa West Ham) ambaye  ni rafiki mkubwa wa Carroll. Lakini hiyo yote haijafaa kwani Carroll bado hana mpango wa kwenda West Ham, ila yasemekana yupo tayari kwa namna yoyote kuweza rudi Newcastle.

Chanzo: ESPN

Advertisements

Posted on July 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: