Aquilani kwenda Fiorentina.


aquilani..

Inasemekana timu ya Liverpool imepokea na kukubalia ofa ya kumuuza Alberto Aquilani kwenda klabu ya Fiorentina ya Italia.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alisafiri kutoka Marekani ambako alikuwa kwenye ziara na klabu yake ya Liverpool na kuelekea Italia kwa ajili ya kukamilisha mkataba huo.

Liverpool wataanza mikakati ya kumsajili Joe Allen mara tu uhamisho huo wa Aquilani utakapo malizika.

Aquilani

Aquilani amekuwa na wakati mgumu tangia atue Liverpool na matokeo yake akipelekwa kwa mkopo AC Milan na Juventus katika miaka miwili tofauti. Mchezaji huyo ameweza cheza mechi 26 tu mpaka leo kwa klabu yake hiyo ya Liverpool.

Chanzo: BBC

Advertisements

Posted on July 31, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: