Cahill ajiunga na Red Bulls ya Marekani..


Cahill

Timu ya New York Red Bulls ya nchini marekani imetangaza usajili wa mcheza Tim Cahill kutoka timu ya Everton ya Uingereza.

Mchezaji huyo amehamia Red Bull kwa ada inayosemekana kuwa ya paundi mil 1.

Cahill atajiunga na mchezaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry ambaye nae pia anachezea klabu hiyo ya Red Bulls.

Thierry Henry

“Ninafuraha kuanza maisha mapya katika ulimwengu huu wa soka na timu yangu mpya ya Red Bulls.
Ligi ya Marekani kadri siku zinavyozidi kwenda nayo inazidi kukuwa.
Ntafanya kila niwezalo kuweza kuisaidia timu yangu hii mpya.” alisema Cahill.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 27, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: