Arsenal wachukua mafunzo ya Kung-Fu.


Alex Oxlade-Chamberlain naTheo Walcott

Inavyoelekea mambo yanabadilika Arsenal. Timu kama Man United, Chelsea na nyinginezo zimekuwa zikiwa zikijiandaa zaidi kisoka Wenger yeye mawazo yake yameelekea katika Kung-Fu.
Ila kazi na dawa jaman wacha vijana wajiachie..

Kung Fu Walcott

Wenger na vijana wake wapo Beijing wakifanya ziara kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya. Huku Walcott na Oxlade-Chamberlain wakiwa kikung-fu zaidi.

Zhang Yuxan

Zhang Yuxan ambaye ni mwalimu wa Kung Fu alikuwa akiwafundisha jambo moja mbili kuhusiana na mchezo huo.

Beijing

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 27, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: