Moura hatohamia Man United asema Agent wa Moura.


Lucas Moura

Lucas Moura anabakia Sao Paulo na hatohamia Manchester United msimu huu, alisema Msemaji (agent) wa Moura.

Sir Alex alionyesha nia ya kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 na taarifa za karibu zilisema usajili wa mchezaji huyo ulikuwa unakaribia kukamilika, huku Man United ikisemekana imetoa paundi mil 26 kwa ajili ya Moura. Lakini msemaji wa mchezaji huyo Wagner Ribeiro aliwaambia Man United ya kuwa fedha walizotoa ni ndogo sana na kamwe mchezaji huyo hawezi kuondoka Brazil kwa kiasi hicho kidogo cha fedha.

Ribeiro iliiambia “uol” kupitia mtandao wao wa “www.uol.com.br” ya kuwa,
“Wamefika bei yao ya mwisho na hawatopandisha zaidi ya hapo. Moura haondoki na unafuraha kubakia Sao Paulo.
Usajili huu umebidi usifanyike na hakuna uwezekano wa kuondoka sasa. Man United wametoa ofa ambayo imekataliwa na hawato toa ofa nyingine kwani hawatopandisha zaidi ya waaliotoa”.

Chanzo: talkSPORT

Advertisements

Posted on July 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: