Je usajili uliofanywa na klabu yapo mpaka sasa umekuridhisha..??


Joe Allen

Liverpool bado hawajabadilisha mtindo wao wakusajili waingereza kwa fedha za juu, kwani inasemekana wanataka toa paundi mill 13.5 kwa ajili ya Joe Allen.

Chelsea nao wamemwaga fedha kwa vijana wadogowadogo weengi.

Huku Man United nao wakisajili wachezaji ambao labda wanaweza kuwafanya shinda taji tena.

Man city mpaka sasa hawajasajili labda mwishowe watakuja sajili.

Je unaonaje klabu yako mpaka sasa usajili ulioifanya..

Tafadhali toa comment.                   

Advertisements

Posted on July 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: