Inzaghi atundika daluga…


Filippo Inzaghi

Mchezaji wa AC Milan Filippo Inzaghi ameamua kustaafu kucheza soka na kuamua kufundisha timu ya watoto ya AC Milan.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 38 ambaye alicheza mechi 7 tu msimu uliopita, alikuwa akifuatiliwa na klabu za Reading na Watford kwa karibu ili wamsajili lakini jitihada zao zimegonga ukuta baada ya mchezaji huyo kuamua kustaafu.

Inzaghi anastaafu soka baada ya kucheza mpira kwa takribani miaka 22, huku akiwa mfungaji namba mbili katika orodha ya wafungaji bora wa mashindano ya Champions League. Inzaghi ana magoli 70 huku namba moja akiwa ni Raul akiwa na magoli 77.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: