Hazard mwingine atua Chelsea..


Thorgan Hazard

Timu ya Chelsea imetangaza ya kuwa imemsajili Thorgan Hazard (mwenye umri wa miaka 19) ambaye ni mdogo wa Eden Hazard kutoka klabu ya FC Lens.

Mchezaji huyo amesajiliwa lakini hatokuwa na timu ya wakubwa na badala yake atajiunga na timu ya Chelsea ya U21 (chini ya miaka 21) na pia anaweza akatolewa kwa mkopo ili aweze pata uzoefu zaidi.

Taarifa toka mtandao wa Chelsea ilisema,
“Thorgan atajiunga na timu ya U21 ambayo inafundishwa na Dermot Drummy. Ataendelea na mazoezi huku swala la kumtoa kwa mkopo likifanyiwa kazi ili aweze pata uzoefu”.

Mdogo huyo wa Eden inasemekana ana uwezo sawa na kaka yake na pia ameshawahi hata hapo zamani kucheza katika timu moja na kaka yake pindi walipokuwa Tubize.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: