Arsenal wakubaliana na Cazorla.


cazorla

Arsenal wanakaribia kamilisha usajili wa mchezaji wa Kihispania Santi Cazorla baada ya kuweza kufikia makubaliano ya mshahara na mchezaji huyo.

Ukamilisho huo unatarajiwa kukamilika ndani ya wiki ijayo, huku Arsenal wakiwa wameshaweka mezani kitita cha paundi mil 15.6 kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo.

Carzola alijiunga na Malaga akitokea Villarreal lakini kutokana na matatizo yanayoikumba Malaga ya kifedha, timu hiyo itauza wachezaji wake nyota wengi ili kuweza angalau punguza madeni.

Kuhamia kwa Cazorla itakuwa ni ongezeka la nguvu katika safu ya ushambuliaji wa Arsenal baada ya timu hiyo kuweza kuwasajili Podolski na Giroud hapo awali.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 25, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: