Liverpool wamtaka Gerard.


Gerard Deulofeu

Taarifa toka katika mtandao wa The People (People.co.uk) zasema Mchezaji wa Barcelona B Gerard Deulofeu anafuatiliwa kwa akribu na timu za Liverpool na QPR.

Liverpool wameweza onesha nia yao yakumsajili mchezaji huyo ambaye anachezea Spani U19 , huku QPR wakimtaka kwa mkopo.

Kocha mpya wa Barca Tito Vilanova hajafanya bado uamuzi kuhusiana na mshambuliaji huyo lakini inasemekana uwezekano mkubwa utakuwa ni kumtoa kwa mkopo na sio kumuuza moja kwa moja.

Rodgers

Barca watataka paundi mil 7.5 kama wataamua kumuuza moja kwa moja mchezaji huyo.
Deulofeu mwenyewe anataka kubakia Barca lakini anajua kubakia kwake hapo kutamaanisha atapata nafasi chache sana za kucheza kwahiyo bora kuondoka kuliko kubakia.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on July 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: