Liverpool 1 FC Toronto 1.


morgan akifunga

Jana ndio ilikuwa mechi ya kwanza kwa Brendan Rodgers kuiongoza timu yake ya Liverpool na mechi hiyo iliisha kwa sare ya magoli,baada ya mshambuliaji wa akiba wa Liverpool Adam Morgan kuweza kufunga goli lake la kwanza kwa timu yake hiyo na hivyo kuweza kuifanya timu yake hiyo kutoka kiwanjani hapo na matokeo ya sare.

morgan akishangilia na carragher

Morgan jana aliweza msaidia Rodgers aanze maisha yake kama kocha wa Liverpool kwa amani kidogo baada ya kumuokoa na kipigo kutoka kwa timu ya Toronto.

pacheco na jose

aquilani..

Charle Adam

Skrtel (kulia) na jonjo

Timu hiyo ya Toronto ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa mchezaji wao Quincy Amarikwa lakini hazikupita dakika nyingi Liverpool walisawazisha kupitia kwa Adam Morgan baada ya Raheem Sterling(mwenye umri wa miaka 17) kufanya kazi kubwa ya kuwachambua mabeki na kisha kumsogezea Morgan (mwenye umri wa miaka 18) ambaye alitupia nyavuni mpira bila ya makosa.

Suso

raheem sterling

lucas na rodgers

Rodgers alichezesha timu mbili tofauti katika vipindi vyote vya mchezo wa jana. Katika kipindi cha kwanza alichezesha wachezaji 11 ambao katika kipindi cha pili wote walitoka na wakaingia wachezaji 11 wengine.

Rogers Centre

Liverpool (first half 4-3-3): Jones: Wisdom, Sama, Carragher, Enrique: Aquilani, Spearing, Adam: Ibe, Ecclestone, Pacheco.

Liverpool (second half 4-3-3): Gulacsi: Flanagan, Skrtel, Wilson, Robinson: Adorjan (Lucas 74mins), Shelvey, Suso: Cole, Morgan, Sterling.

Subs: Lucas, Smith, Ward, McLaughlin

Goal: Morgan (69)

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: