Chelsea wafanya mazoezi uwanjani baada ya ndege kuchelewa.


changamka..

Mara nyingi ndege ikichelewa watu huwa wanalala, wanasoma vitabu au wanafanya booking nyingine na kuondoka uwanjani ila kwa Chelsea sijui ndo Ubingwa wa Ulaya unawachanganya mpaka wakaamua kuanza fanya mazoezi hapo hapo uwanjani.

haya kama ndege

mguu juu

Chelsea wanasafiri kuelekea New York amabako watacheza mechi ya kirafiki na PSG katika uwanja wa Yankee.

tumalizie sasa

Di Matteo anataka timu yake isahau swala la kuwa wao ni mabingwa wa Ulaya  na waanze kufikiria kuwa mabingwa wa Uingereza pindi mwezi wa nane utakapofika.

Di matteo aliongea na waandishi wa habari tangia alipochaguliwa kuwa kocha rasmi wa Chelsea.
“Wiki zile 12 zilikuwa wiki za maajabu sana kwangu, tulikuwa twagombania nafasi ya nne, FA cup na Champions League.
Ilikuwa inatubidi tujipange kwelikweli”. Alisema Di Matteo

Chelsea wanafanya kama walivyofanya mwaka 2004 kusajili wachezaji wengi kadri wawezavyo ili kuweza imarisha kikosi chao.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: