Bebe awaokoa Man United.


Bebe

Mchezaji wa Manchester ambaye amesahaulika machoni mwa mashabiki,Bebe jana aliweza waokoa Man United baada ya kufunga goli la kusawazisha katika dakika za majeruhi dhidi ya timu ya Ajax Cape Town.

Bebe akifunga goli

Mchezaji huyo mwenye asili ya Ureno jana ndo alikuwa akiichezea timu yake hiyo baada ya kutoichezea timu hiyo kwa takribani miezi 17.

Mchezaji huyo alihamia Man United miaka miwili iliyopita kwa ada ya paundi mil 7.2 akitokea Guimares.

shinji kagawa

Ajax ndio walikuwa wakwanza kupata  bao kupitia goli lililofungwa na Alcardo van Graan  katika dakika ya 87 lakini shukrani kwa Bebe ambaye alifunga goli la kusawazisha katika dakika za majeruhi na kupelekea Man United kuondoka Afrika ya kusini bila ya kufungwa.

Paul Scholes..

Hernandez

Wachezaji wengine waliopata nafasi za kucheza jana ni  Kagawa, Nick powell na pia Berbatov aliweza pata dakika za kucheza.

AJAX CAPE TOWN: Westerveld; Hlatswayo, Allie, Both, Jenniker, Scott, Billiat, Losper, Fanteni, Dolly, Rusike. Subs: Julius, Wolff, Shabalala, Carelse, Alexander, Vilikazi, Van Graan, Mokeke, Graham, Lebusa, Roberts, Okwuosa.

Goal: Van Graan (86)
MAN UTD: Amos; Vermijl, Wootton, Ferdinand, Blackett; Anderson (Lingard 68), Carrick, Scholes (Powell 68); Valencia (Tunnicliffe 68), Kagawa (Berbatov 77), Anderson; Hernandez (Bebe 68). Subs: Macheda, Johnstone, Lindegaard, Brady, Petrucci, Vaseli.

Goal: Bebe (90)

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: