Van Persie agoma safiri na Arsenal…


ROBIN VAN PERSIE

Man United na Man City wametoa paundi mil 15 kwa ajili ya kumsajili Van Persie ambaye amegoma kuongozana na Arsenal kwenda nao nchi za mashariki ya mbali kwa ajili ya mechi za majaribio.

Timu hizo mbili za Manchester zinapigana vikumbo na Juventus kwa ajili ya kupata saini ya mchezaji huyo wa Uholanzi.

Van Persie..

Arsenal wanagoma kumuuza Van Persie kwa bei pungufu zaidi ya paundi mil 20.
Wenger anataka swala hilo la Van Persie lisuluhishwe mapema iwezekanavyo.

Fernando Llorente kulia

Inasemekana Wenger na wasaidizi wake wanafikiria kumsajili mhispania Fernando Llorente kuwa mbadala wa Van Persie.
Mhispania huyo amefunga magoli 28 katika yake ya Bilbao msimu uliopita.
Kwa hiyo bei itakayipatikana katika mauzo ya Van Persie ndi itatumika kumsajilia mhispani huyo.

Lakini Llorente sio pekee ambaye Arsenal wanamfikiria kumfanya kuwa mbadala wa Van Persie ila wachezaji wengine ni Jovetic wa Fiorentina na Lewandowski wa Borussia Dortmund’s.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on July 20, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: