PSG yamtambulisha The Ibrah….


Zlatan Ibrahimovic

Zltana Ibrahimovic sasa ndio mchezaji ghali dunia nzima. Hii ni baada ya kukamilisha uhamisho wake toka AC Milan kwenda PSG.

“Hatimaye sasa nipo Paris,
Ni ndoto ambayo sasa imekuwa kweli. Kwangu mie hii ni hatua kubwa sana katika maisha yangu.
Kuchezea PSG ni kitu kikubwa sana”.

“Wanamikakati mizuri na ninafuraha kuwepo katika mikakati hiyo. Sasa nimetua hapa na mie nataka niweke historia katika klabu hii.
Nimekuja kwa ajili ya vikombe na hicho ndio cha maana”. Alisema Ibrah

Ibrah.

PSG ambayo inafundishwa na Carlo Ancelotti ilimaliza katika nafasi ya pili kwenye ligi yao hiyo ya Ufaransa nyuma ya klabu ya Montpellier. Lakini sasa kikosi chake amekiimarisha zaidi kwani mbali na usajili huo wa Ibrah jana pia walitangaza usajili wa kiungo Marco Verratti mwenye umri wamiaka 19 ambaye amesaini mkataba wa miaka mitano.

Ibrahimovic

Ibrah ambaye anamiaka 30 , Baada ya uhamisho huo wa jana amefikisha jumla ya paundi mil 150 kama mjumuisho wa fedha ambazo zimewahi tolewa kumnunua katika klabu zote alizowahi chezea ambazo ni Ajax,Juventus, Inter Milan, Barcelona na AC Milan.

Mkurugenzi wa mpira wa PSG Leonardo alisema,
“Mwaka huu ni mzuri kwa PSG, mchezaji mkubwa kama Ibrah kuja kwetu. Kwan mchezaji huyu ninaimani ataibadilisha timu.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 19, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: