Watford kuwasajili Del Piero na Inzaghi.


Inzaghi

Timu ya Uingereza ya Watford ambayo imepata wamiliki wapya wakiitaliano na pia kocha mpya ambaye ni muitaliano Zola inajiandaa kuwasajili wakongwe wa Italia Inzaghi na Del Piero ambao kwa sasa ni wachezaji huru.

Filippo Inzaghi ambaye ana miaka 38 ameiacha klabu yake ya AC Milan baada ya klabu hiyo kuamua ya kuwa hawatomuongezea mkataba mwengine.
Inzaghi ambaye ameshinda kombe la Champions League mara mbili na Milan, anashikilia nafasi ya pili katika wafungaji bora wa kombe hilo la Uefa kwa kuwa na magoli 70 huku namba moja akiwa Mhispania Raul mwenye magoli 77.

Ilisemekana mwanzo Inzaghi alikuwa na mpango wa kuwa kocha wa Italia kabla Zola hajampa ofa hiyo ya kuendelea kucheza tena.

Del Piero

Del Piero nae ameiaga klabu yake ya Juventus mwezi wa tano baada ya kukaa klabuni hapo kwa mda wa miaka 20.
Del piero ambaye ameifungia timu yake ya taifa ya Italia magoli 27 katika mechi 91 alizocheza ni mchezaji ambaye anauwezo wa kucheza katika ligi yoyte ile ulimwenguni.

Chanzo: Dailymirror 

Advertisements

Posted on July 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: