Ibrahimovic atua PSG…


Ibrahimovic

Paris St Germain wamefikia makubaliano na Ibra kuhusiana na maswala ya mshahara na sasa yamebakia maswala madogomadogo tu kukamilisha uhamisho huo.

Milan na PSG walishakubaliana bei kuhusiana na mchezaji huyo lakini kikwazo kilikuwa ni makubaliano kati ya PSG na Ibra ambayo kwa sasa tayari yamefikia ukingoni na yameeleweka.

Ibra atafanyiwa vipimo vya afya siku ya Jumatano.

“Tumefikia makubaliano na usajili umekamilika. Zlatan Ibrahimovic ni mchezaji wetu. Atafanyiwa vipimo vya afya kesho”. Alisema mkurugenzi wa michezo wa PSG Leonardo.

“Pande zote mbili zinafuraha, na kwahivyo Ibra nae anafuraha.
Sasa Paris inasababu nyingine ya kuufanya uonekane mji mzuri baada ya usajili huu wa Ibra”. Alisema msemaji wa Ibrah Mino Raiola.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: