Chelsea sasa wamtaka mdogo wa Hazard…


Thorgan Hazard

Mdogo wa Edin Hazard, Thorgan Hazard anafuatiliwa na klabu ya Chelsea na anaweza akasajiliwa, alisema mkurugenzi wa mpira wa klabu ya Lens Antoine Sibierski.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 amecheza mechi 12 tu katika klabu yake ya Lens ambayo ipo daraja la pili na amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake.

Chelsea tayari wameshamsajili Hazard mkubwa na inavyoelekea wanataka kusajili mwingine.

“Nimepata taarifa ya kuwa Chelsea wanamtaka na wanaweza msajili.
Tupo katika maongezi na ni vigumu kwa mchezaji wa daraja la chini kuikataa timu kama Chelsea.

Amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake lazima huo mwaka ulipwe na pia lazima tulipwe fedha za gharama za mafundisho” alisema Sibierski.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: