Berbatov kwenda AC Milan..


Berbatov

Msemaji wa mchezaji wa Man United Dimitar Berbatov amesema mchezaji huyo yupo tayari kujiunga na timu ya italia
ya AC Milan.

Mchezaji huyo anatarajiwa kuondoka Man United katika kipindi hiki cha kiangazi baada ya kuambiwa hayupo katika mipango ya Sir Alex.

Man United inasemekana wapo tayari kupokea paundi mil 5 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31.

“Kuna uwezekano mkubwa sana akaihama Man United mda wowote ule. Na mahala ambako anaweza kuhamia hasa ni katika ligi ya Uingereza. Unaupenda sana mpira wa kiitaliano.
Najua ya kuwa Milan na Juventus wanatafuta mshambuliaji.
Siwezi sema mengi ila ni kuwa Berbatov anaipenda Milan na atapendeza pia akiwa ndani ya uzi mweusi na mweupe wa Juve.Dimitar ataikimbilia Milan kwa sababu klabu hiyo imekuwa ikimtaka kwa mda mrefu sasa.
Itabidi waanze kuongea na Man United kama kweli wanamtaka mchezaji huyu”. Alisema Emil Dantchev msemaji wa Berbatov.

Chanzo: Skysports 

Msemaji wa mchezaji wa Man United Dimitar Berbatov

amesema mchezaji huyo yupo tayari kujiunga na timu ya italia

ya AC Milan.

Mchezaji huyo anatarajiwa kuondoka Man United

katika kipindi hiki cha kiangazi baada ya kuambiwa hayupo

katika mipango ya Sir Alex.

Man United inasemekana wapo

tayari kupokea paundi mil 5 kwa ajili ya mchezaji huyo

mwenye umri wa miaka 31.

“Kuna uwezekano mkubwa sana

akaihama Man United mda wowote ule. Na mahala ambako

anaweza kuhamia hasa ni katika ligi ya Uingereza. Unaupenda

sana mpira wa kiitaliano.
Najua ya kuwa Milan na Juventus

wanatafuta mshambuliaji.
Siwezi sema mengi ila ni kuwa

Berbatov anaipenda Milan na atapendeza pia akiwa ndani ya

uzi mweusi na mweupe wa Juve.
Dimitar ataikimbilia Milan kwa

sababu klabu hiyo imekuwa ikimtaka kwa mda mrefu sasa.
Itabidi waanze kuongea na Man United kama kweli wanamtaka

mchezaji huyu”. Alisema Emil Dantchev msemaji wa Berbatov.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: