Chelsea wamsajili Oscar…


Oscar.

Imeeleweka ya kuwa Chelsea imefanikiwa kumsajili mchezaji wa kibrazil Oscar kwa ada ya paundi mil 25.

Chelsea wamekuwa wakimfuatilia mchezaji huyo wa timu ya Internacional ya Brazil kwa mda mrefu sasa, huku Tottenham nao pia wakiwa wanamtolea macho kinda huyo.

Chelsea mwanzo walishindwa msajili mchezaji huyo baada ya ofa yao ya paundi mil 20 kukataliwa lakini sasa wamempata baada kuja na ofa ya paundi mil 25.

Mkataba utamaliziwa zaidi siku za karibu, huku Oscar akitarajiwa kutuwa Uingereza siku ya Jumanne na timu yake ya taifa ya Brazil kwa ajili ya mashindano ya Olympic.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 17, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: