Carroll anataka kurudi nyumbani .


carroll

Andy Carroll anataka kurudi nyumbani Newcastle lakini amelifanya hili baada ya kuongea na kocha wake Brendan Rodgers.

Inasemekana Carroll amewaambia wawakilishi wake ya kuwa “Nataka kurudi nyumbani”.

Inasemekana pamoja na ofa ya Newcastle ya kutaka kumchukua Carroll kwa mkopo ilikataliwa lakini Andy bado ameambiwa hayupo katika mipango ya Rodgers.

Kurudi kwa Carroll Newcastle kunaweza kupelekea kuwa ndio mwisho wa Ba.

Rafiki wa karibu wa Carroll jana usiku alisema,
“Newcastle wanamtaka Andy na Andy nae anataka kurudi nyumbani na ameshawaambia Liverpool pia.

Carroll ameudhika na kitendo cha kutopewa nafasi ya kuonyesha kiwango chake na kocha huyo mpya wa Liverpool.

Alikuwa anatarajia angalau angecheza mechi za majaribio ili kumuonyesha kocha kuwa atafaa kwani alimaliza msimu akiwa katika kiwango kizuri msimu ulioisha”.

Chanzo: Chronicle

Advertisements

Posted on July 17, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: