Liverpool watoa paundi mil15 kwa ajili ya Walcott..


Theo Walcott

Timu ya Liverpool inajiandaa kutoa paundi mil15 kwa ajili ya kumsajili Winga wa Arsenal Theo Walcott ingawaje watapata upinzani toka kwa Chelsea ambao nao pia wanamtaka.

Liverpool wapo tayari kushindana na Chelsea katika kumsajili mchezaji huyo wa Arsenal. Walcott amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na Arsenal na kuna uwezekano mkubwa akamfuatisha Van Persie kwa kuamua kugoma kusaini mkataba mpya na kuihama klabu hiyo.
Mchezaji huyo anataka mshahara wake upandishwe mpaka afikie kiwango cha kupokea paundi 100,000 kwa wiki na  hilo likishindikana kuna uwezekanao mkubwa akahama.

Ni wazi kuwa kocha wake Arsene Wenger anataka mchezaji huyo abakie klabuni hapo ingawaje baadhi ya watu waliopo katika bodi ya juu ya klabu hiyo ya Arsenal wapo tayari kupokea fedha kwa ajili ya kumuuza mchezaji huyo.

Chanzo: caughtoffside 

Advertisements

Posted on July 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: