Hispania washinda tena Euro..


mabingwa tena

Timu ya Hispania ya vijana wenye umri chini ya miaka 19  jana walitwaa taji la European Championship baada ya kuwafunga Ugiriki bao 1-0 kupitia goli la Jese Rodriguez.

Jonas Ramalho, Jese Rodriguez, na Derik Osede

Hilo ni kombe lao la 6 ndani ya miaka 11 na pia wameshinda taji hilo jana mara mbili mfululizo kama kaka zao wa timu ya Hispani ya wakubwa.

Jese Rodriguez akitupia

Hispania walimiki mpira kwa muda mrefu kama ilivyo kawaida yao lakini walishindwa pata nafasi ya goli mpaka ilipofika dakika ya 80 ambako Rodriguez alifunga goli pekee lililowapa ushindi Hispania (La Roja) mbele ya watazamaji 8،000.

huku shangwe, huku kilio.

Hispania wameingia katika fainali hiyo baada ya kuwafunga Ufaransa na Ugiriki nao wameingia fainali baada ya kuwatoa Uingereza.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: