Fabio Capello atangazwa kuwa kocha wa Urusi..


Fabio Capello

Fabio Capello leo ametangazwa kama kocha mpya wa timu ya Taifa ya Urusi na anatarajiwa kukamilisha mambo mengine ya mkataba wake siku zijazo.

Kocha huyo wa zamani wa Uingereza, alikuwa na maongezi na chama cha mpira cha Urusi, Russian Football Union (RFU) wiki iliyopita kwa ajili ya kuweza  kumfanya awe kocha wao.

Warusi wamesema ya kuwa wanaamini Fabio ndio mtu sahihi wa kuisaidia timu hiyo kuweza kurudi katika kiwango chake tena baada ya kuboronga katika mashindano ya Euro 2012.

“Tunatangaza leo ya kuwa tumeamua kumpa kazi ya ukocha wa timu ya taifa wa Urusi Fabio Capello” alisema Nikita Simonyan ambaye ni Makamu wa raisi wa RFU.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on July 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: