Berbartov apasua jibu Facebook…


Berbatov: nimelichoka benchi

Dimitar Berbatov anamlilia Ferguson amuachie aondoke  Man United msimu huu kutokana na nafasi chache azipatazo za kucheza.

Berbatov mwenye umri wa miaka 31 anatarajiwa kusafiri na Man United kuelekea Durban Afrika ya kusini kwa ajili ya mechi za majaribio.

Sir Fergie niache nsepee.

Berbatov ameonesha nia ya kuondoka klabuni hapo kwa kuamua kutoa dukuduku zake zote kupitia mtandao wa Facebook.
Nimechoshwa na tetesi za kuhusu mie kuhama.
Ninasoma magazeti na yanasema sitouzwa kwa fedha chini ya paundi mil 10. Nikimuuliza Sir Alex anasema ni paundi mil 5.
Sasa nani anasema ukweli??
Naipenda Man Utd lakini haitokuwa na maana yoyote kama nkiwepo hapa hali ya kuwa sipati nafasi za kucheza.
Nataka kucheza, nataka kupewa nafasi. Lakini kwa sababu ambazo hazijulikani sitoweza pata hizo nafasi za kucheza, kwa hiyo nadhani ni bora kila mtu akaenda njia yake na tuagane“. Alisema Berbatov kupitia Facebook.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on July 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: