PSG yakamilisha usajili wa Silva..


Thiago Silva

Paris St Germain imethibitisha ya kuwa imemsajili mchezaji Thiago Silva wa AC Milan kwa mkataba wa miaka mitano (5).
Insemekana usajili huo ni watakribani paundi mil 33.

AC Milan walitangaza mwanzo wa wiki hii ya kuwa walishapokea fedha kwa ajili ya Silva na Ibrahimovic kutoka kwa klabu ya Ufaransa ya PSG.

Taarifa toka katika website ya PSG imesema,
Thiago Silva mwenye umri wa miaka 27 kutoka klabu ya AC Milan,leo Jumamosi amesaini mkataba na PSG wa miaka mitano“.

Usajili wa Ibrahimovic bado haujafanyika bado maongezi yanafanyika,
Hayupo Ufaransa kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya kama watu wanavyodhani.
Tutaendelea fanya kazi na tutatoa taarifa zaidi baadae“. Alisema muongeaji wa Ibrahimovic

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on July 15, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: