Hatimaye Arsenal wamepata kikombe…


Arsenal mabingwa

kocha wa Southampton Nigel Adkins

kocha wa Arsenal (Arsene Wenger)

Siku ya Jumamosi timu ya Arsenal iliingia uwanjani na timu iliyopanda daraja ya Southampton. Mchezaji mpya wa Southampton aliyenunuliwa kwa ada ya paundi mil 6 Jay Rodriguez alifunga goli la kwanza kabla ya Gervinho kusawazisha.

Thomas Elsfield wa Arsenal akichuana na Lucas Biglia wa Anderlecht

Timu hizo zilikuwa zinashindana katika kombe la Markus Memorial Cup pamoja na timu ya Anderlecht ya Ubelgiji ambako mechi hizo zote zilichezwa katika uwanja wa St Mary’s.

kinda wa arsenal Jernade Meade

kinda wa arsenal Craig Eastmond

Mashindano hayo ni ya kumkumbuka Liebherr amabaye alifariki mwezi wa nane mwaka 2010. Mechi zilikuwa za dakika 45 ambako Arsenal ndio waliibuka mabingwa baada ya kuwafunga Anderlecht 1-0 na kudraw 1-1 na Southampton ambako mechi ilibidi imalizike kwa penati.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 15, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: