Barcelona wamtaka Koscielny wa Arsenal..


Laurent Koscielny

Barcelona wanajiandaa kutoa kitita cha fedha kwa ajili ya kumsajili beki wa Arsenal ,Laurent Koscielny.

Safu yao ya ulinzi ya Barcelona inaupungufu wa wachezaji mpaka imefikia hatua ya kumchezesha  Javier Mascherano na Sergio Busquets kama mabeki wa kati hali ya kuwa nafasi yao ni viungo wakabaji.

Kocha mpya wa Barca Tito Vilanova ameamua kuanza kuimarisha kikosi chake kwa kuanza na safu yake ya Ulinzi. Tetesi zasema kocha huyo anawafuatilia Thomas Vermaelen wa Arsenal na Thiago Silva wa AC Milan, lakini kwa bahati mbaya Silva tayari ameshajiunga na  PSG na hivyo kuamua kuhamisha macho yake kwa Koscielny.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on July 15, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: