Man Utd watoa paundi mil 33 ili kumpata Lucas..


Lucas Moura

Taarifa toka gazeti la Brazil Lance! Imesema ya kuwa Manchester United wametoa ofa ya paundi mil 33 kwa Sao Paulo kwa ajili ya kuweza msajili mchezaji wao Lucas Moura.

Lucas mwenye umri wa miaka 19 inasemekana ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya ambaye ndio kwanza anachipukia na amekuwa akihusishwa na kuhamia timu nyingi za Ulaya hivi karibuni.

Ilisemekana mwanzo ya kuwa Inter Milan walitoa ofa ya paundi mil 25 kwa ajili ya kijana huyo lakini mkurugenzi wa mpira wa Sao Paulo,Joao Paulo de Jesus Lopes alikanusha habari hizo kuwa sio za kweli.

Gazeti hilo lilisema ya kuwa wawakilishi toka Man Utd wapo Brazil wakisubilia jibu toka kwa Sao Paulo baada ya kutoa ofa hiyo ya paundi mill 33.

Lucas atawasili Uingereza wiki ijayo na timu yake ya Brazil tayari kwa ajili ya mashindano ya Olympic.

Chanzo: ESPN 

Advertisements

Posted on July 14, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: