Spurs wamsajili Adebayor..


Emmanuel Adebayor

Hatimaye Tottenham wamekamilisha usajili wa mchezaji Emmanuel Adebayor kutoka klabu ya Manchester City.

Mchezaji huyo ambaye msimu uliopita alichezea kwa mkopo klabu ya Tottenham, ameweza sajiliwa moja kwa moja klabuni hapo kwa ada ya paundi mil 6.

Mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal inasemekana atakuwa ni mchezaji ambaye analipwa pesa nyingi Spurs kuliko wachezaji wengine klabuni hapo.

Adebayor amekuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na klabu hiyo ya Spurs baada ya usajili wa Jan Vertonghen na Gylfi Sigurdsson kufanyika tayari.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 13, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: