QPR wamuondoa Barton..


Joey Barton

Queens Park Rangers wanajiandaa kumtoa mchezaji wao mtukutu Joey Barton kwa mkopo na kumpeleka kunako klabu ya Blackburn Rovers ambayo ipo daraja la chini.

Barton (kulia)

Mchezaji huyo mwenye umri wa miak 29, amefungiwa mechi 12 za mwanzo wa ligi kutokana na ukorofi alioufanya katika mechi yao ya mwisho dhidi ya Man City.

Barton amevuliwa unahodha, amepigwa faini ya fedha ya wiki sita na pia ameondolewa katika wachezaji wa QPR watakao enda Asia kwa ajili ya mechi za majaribio.
Klabu haikuishia hapo ila ikamuonya kama akifanya fujo zaidi basi atafukuzwa klabuni hapo.

Barton na Mark Hughes

Kocha wa QPR bado anamheshimu mchezaji huyo kutokana na kiwango chake na hivyo kuamua kumpeleka kwa mkopo daraja la chini ambako kuna mechi nyingi zaidi za kucheza na hivyo kumfanya Barton kuweza cheza huku akijaribu kupunguza idadi za mechi alizofungiwa.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 13, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: