Pienaar kurudi Everton kwa paundi mil 5.


Steven Pienaar

Mchezaji wa Tottenham anakaribia kurudi klabu yake ya zamani ya Everton kwa ada ya paundi mil 5.

Mwenyekiti wa Everton Bill Kenwright amekuwa akifanya maongezi na klabu ya Tottenham kwa ajili ya kuweza kukamilisha usajili huo wa Pienaar ambaye anasili ya Uafrika kusini.

Klabu zote mbili zinauhakika muafaka wa mchezaji huyo utafikiwa ifikapo mwanzo wa wiki ijayo.

Kuondoka kwa Pienaar Tottenham ndio utakuwa mwanzo wa uondokaji wa wengi kwani wachezaji wengine pia kama Jermaine Jenas, William Gallas, Giovani Dos Santos na Heurelho Gomes wote wapo sokoni tayari kwa kuuzwa.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on July 13, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: