Apokea Digrii baada ya kufa miezi minne iliyopita.


Muamba

Mchezaji wa timu ya Bolton ambaye moyo wake ulisimama kwa takriban dakika 78 baada ya kuanguka uwanjani, amepokea Digrii kutoka Chuo Kikuu cha Bolton (Honorary Doctorate) .

madktari wakimtibu Muamba kiwanjani.

Fabrice alianguka uwanjani katika mechi ya FA ya robo fainali ya Bolton dhidi ya Tottenham, kuanguka huko kulitokana na matatizo ya moyo (Cardiac arrest).
Aliweza okolewa maisha yake pindi alipofikishwa Hospitalini na baade madaktari wakatangaza ya kuwa moyo wa mchezaji huyo ulisimama kwa takribani dakika 78.

Mpaka sasa haijajulikana kama Muamba ataweza ruhusiwa cheza tena mpira au laa.

muunganiko kumuombea muamba

muunganiko kumuombea muamba

Dr George Holmes, ambaye ndio Vice Chancellor wa chuo hicho cha Bolton alisema,
Fabrice ni kijana mzuri sana na mwenye tabia njema, atatunukiwa shahada hii (honorary doctorate) kwa ajili ya kusherehekea na kutambua muungano alioufanya kwa timu zote zilizojitokeza kwa ajili ya kuataka kumsaidia pindi alipokuwa akiumwa.
Chuo kinaandaa mikakati ya kuanzisha na kufundisha Sayansi ya michezo pamoja na maswala ya afya ya wanamichezo“.

muunganiko kumuombea muamba

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on July 13, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Shuti la leo, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: